Table of Contents
Jeshi ya Kamande Lyrics by Dainare, Boyare, & Slaggy. Nairobi based musician Dainare is one of the most distinguished Genge artist in the Kenyan music industry today. Along with Boyare, the duo are popularly known for their hit song Kanyamo.
Dainare is one of the current artists who are
ensuring that the Genge genre gets its rightfully deserved respect and status. It’s without a doubt that these artists are the ones who play a major role in promoting the Kenyan music.
So, here is what Kenyan rappers Dainare and Boyare released recently. You may have a look at the video to the song Jeshi ya Kamande and don’t forget to subscribe to the channel. You may also turn ON the notification button for future updates on the YouTube channel.
Jeshi ya Kamande Lyrics by Dainare Boyare Slaggy
Hii ni jeshi ya kamande
(Intro)
Nare to the nare,
Boyare, hii ni ya jeshi: slagga villa ,hii ni ya jeshi. Ya Mawiiings hii ni ya jeshi, hii ni jeshi ya kamaa. Jeshi ya Kamande ya jeshi jeshi( ah) inaitwa b.i.g ni ya jeshi ,b.i.geee
kijeshiii
Chorus
Ju hii ni jeshi ya kamande ,si
Kamare itakuchezea ukamande
U kidai ntakufunza ukamande
Au uringitwe ufanyiwe Harambee ×2
Verse 1: Jeshi ya Kamande by Dainare
Kama Scooby-Doo nimekam kubafua
Power puff girls nimekam kunyandua
Kama mickey mouse nimejibrand na maua
Mi ni alladin wa gwa kairo na mnajua
Meza ntachafua,chupa ntapasua
Mdomo ukipanua ,ntapita na mapua (ah)
Ile ganji ninayo nakinyera
Wai tools nimekam na kimera
Hizi diaba hizi hagga za omera
Makang’ethe wako area utauma
Ka ni mic mi huichek chek 1,2
Ka ni thegi mi humtoa raba 1,2
Chorus (Jeshi ya Kamande)
Verse 2: Boyare
Hata umwok na afande tutamjenga majaa jo amange
Fungua mzinga u hangamshe jeshi niashie kapienga hii mbichwa jo ni freshii
Hapa liwe lazima uchezewe ngware
Leta ujinga unyamazishwe na vibare
Alinitouch akatoa ndani alipita na mkoba na khai jo hukuwa wake
Hii ni jeshi ya kamande si huchafua from Friday to Monday, ausey
Hii ni jeshi ya kamande si huchafua from Friday to Monday
Chorus
Verse 3: Slaggy
Nina kuku ingine Apa Nimeteka Isili
Nkifika Nayo Keja Mbona Joh Isilie
Shugli Shugli Kuonoria Nkaa Me Ni Tap
Nikipiga G spat Kata piga Tapo
Kaa konkodi Kwa Mat
Operation Niku Medi Vile Mm Ndaitwara
Irima Ivo Juu Kwetu Ni Far East
Tupite Izo Ma Chember Kidogo Adi Marima
Ochi Sukuje Pia Na Ratish Nyoro Ni Kienyeji
Juu Jeshi Ya Kamande Pia Jeshi Ya Karinde
Matire Adi Monday Monday 2 Sunday
Mblaina Kibare Repoti Kwa Afande